
ndipo alipata wazo la kwenda ndani ya chumba cha binti yake ili kufanya ukaguzi huku akijipa matumaini huwenda angepata chochote alifika ndani ya chumba na kuanza upekuzi alikagua begi la shule pamoja na madaftari ambapo kwa asilimia kubwa alikuta binti huyo akiwa haja andika maana daftari lili onekana kuwa na mapengo mengi tu “ mmmmh hivi huyu ashura amepatwa na nini lkn mbona mwanzo hakuwa hivi..hivi baba yake angelikuwa hai angelifanya ujinga huu kweli..? ” mama ashura alizidi kujiukiza maswali mengi yaliyokosa majibu huku akiendelea kupekua pekua akiwa bize kukagua droo la chupi za binti yake chini kabisa alitoka na
0 Comments