*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA* Chapter 18&20 Nilikata simu ile nakata tu sijakaa hata dakika tano

*NITAKUSEMEA KWA BABA UNANIUMIZA*   Chapter 18&20  Nilikata simu ile nakata tu sijakaa hata dakika tano

mama ananipigiaa ananimbia niendee hospitali maana na yye kapigiwa sasa nilijiandaa haraka haraka kweli nilikuwa nataka kuwahi kuliko chochote niliwasha gari nikasepa. njiani kulikuwa na foleni simu zilikuwa zinapigwa kama mvuaa yaani baba nae ananipigiaa nilikuwa naliaa mimi balaa nilichanganyikiwa vilivyoo yaani nilifika hospitali ila kwa kuchelewa nilimkuta mama mkwe analiaa sana baba alikuja kunikumbatiaa Nilipata hisia mbaya sana nylee niliumiaa mini duuh niliumia mnoonikajuaa kuna kitu kibaya kinaendelea hapa sio bure "Mama kuna tatizo kwani mama yangu baba alikuja akanishika began mama mkwe akanikumbatia "mwanangu mwananguu J wangu hayupo tena" wee nilishtuka nikabaki naganda machozi hayatoki wala mimi siongei

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments