Chozi la mdogo wangu SURA YA SABA

Chozi la mdogo wangu SURA YA SABA

zikupita siku nyingi Frank alipona na kurudi kwenye hali yake ya kwaida, siku hiyo ndiyo daktari huyo aliwapeleka kwake, wakati wapo kwenye gari daktari alizidi kuwadodosa kwa maana alihitaji kuwafahamu zaidi, “Naitwa dokta Temba vipi huyo mdogo wako ulisema anaitwa nani vilee” “Anaitwa Frank” “Ohoo ana jina zuri sana” “Eenhee Ndiyo maana nakapenda sana kadogo kangu” “Mi pia nimefanikiwa kuoa juzi kati, bado sijapata mtoto kwa hiyo ninyi pia mtakuwa wanangu watakao zaliwa watakuwa wadogo zenu” “Ooh jamani..yaani tunashukuru saana saana dokta” “Wala msiwe na shida mtasoma mpaka mchoke wenyewe sitawahi kuwachukia kikubwa ni nyie muwe watoto wazuri msiwe wadokozi,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments