Chozi la mdogo wangu SURA YA TANO.

Chozi la mdogo wangu SURA YA TANO.

jira ya saa sita usiku Dorini hakuwa amefanikiwa kupata usingizi kabisa, badala yake alijilaza tu, kwa hofu na mashaka aliyo kuwa nayo akajifunika shuka tu ili mdogo wake asije tambua kama hakulala. Usiku huo wa saa sita alicho kiona Dorini kilimfanya jasho limtoke, mwili ukafa ganzi akakosa kabisa hata nguvu za kuinua ulimi wake kupiga kelele akatamani angepata usingizi ila kwa wakati huo haukupatikana kabisa, basi akabaki kuangalia tu filamu ya kichawi iliyo kuwa live yaani mbashara mbele ya macho yake. Ni baada ya kuwaona watu walio kuwa wamevaa vitambaa vyekundu, huku kichwani wakiwa wamejifunga vilemba vyeupe, walikuwa wanaume wawili

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments