CHUMBANI KWETU 💚 5 nikashtuka😳nimeumbuka cheee....!!!🙄 abeee zima hiyo taa inaniumiza macho nikasema uyu mjinga

CHUMBANI KWETU 💚 5  nikashtuka😳nimeumbuka cheee....!!!🙄 abeee zima hiyo taa inaniumiza macho nikasema uyu mjinga

nini😡yaani mimi simvutii au simtamanishi😭😭😭 nikapanda kitandani roho inaniuma😭 machozi yananibana🥲🤣 nikalala uku najililia zangu🙄 sasa kila muda unavyozidi ndo uchungu unazidi kilio zinazidi mpaka natoa sauti😭😭😭 wewe zawadi unalia nini? 🙄 nikakaa kimya akawasha taa akaja kitandani unalia nini mama? kichwa kinauma🥺 kimeanza sangapi mida hii😔 pole hivi humu ndani kutakuwa na dawa kweli? hamna kitapoa tu😔ata kesho ntakunywa no ngoja nikakutafutie dawa🙄 akaondoka ilikuwa mida ya saa nne usiku, bhana akarudi na painkillers😧 nkasema nakunywa dawa bila kuumwa☹ akanipa na maji nikazuga zuga nikaziweka chini ya mto😆😆upumzike sasa nikalala akanifunika 🥺hivi si uje tu ulale kitandan 🤔 mimi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments