
. Nini kilitokea mpaka ikawa vile? Mama Farida alishusha pumzi ndefu kisha. akaanza kusimulia ilivyokuwa. "Shania ni binti ambae amepitia kwenye maisha magumu sana na ameshuhudia mambo makubwa tangia akiwa mdogo. Kwanza ameshuhudia vifo vya wazazi wake. Baba yake alimpiga mama yake sababu ya wivu wa kimapenzi na kumsababishia kifo. Baada ya kuona amekuwa nae alikunywa sumu akafa. Nimemleta Shania tangia akiwa na umri wa miaka kumi alikuwa ni mtoto mnyonge sana lakini baada ya kumtafutia mwana saikolojia alianza kusahau yaliyopita akaendelea na masomo yake na alikuwa anafanya vizuri sana mpaka alipofika elimu ya chuo alipata mchumba na mwaka wa
0 Comments