CHUMBANI KWETU šŸ’š 8 Mimi naogopa🄺no usiogope hakuna kibaya kitakukuta mmh wakati umesema mauzauza sijui hamna bhana usijali mke wangu, umesikia

CHUMBANI KWETU šŸ’š 8  Mimi naogopa🄺no usiogope hakuna kibaya kitakukuta mmh wakati umesema mauzauza sijui hamna bhana usijali mke wangu, umesikia

? sawa lakini nikakosa amani kuanzia hapo😭basi ikapita kama wiki tukasikia juu ya bati kama mtu anatembea😳 mume wangu unasikia uko juu kuna nini bhana yaan naweza nikafa wewe upo umu umu usikii vishindo juu ya bati?šŸ™„ mmmh Sasa huyo ni paka au nani? paka awe na kishindo hivyošŸ™„ngoja nikaangalie ni nini kilichopo hapana uende uko upate matatizo usiku wote huu uenda ni mtu atokee akujeruhi usiende plz sawa mke wangu ila usiogope mimi nipo sawa🄺basi tukalala lakini naogopaješŸ™„šŸ™„ siku moja nkawasikia wanaongea na mama ake eti anaogopa mimi nisije patwa na yaliyotokea kwa najma nikawaza au niende jifungulia kwetu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments