
nyieee kibao kile nilihisi kizunguzungu😒😒😒 nikawa natetemekaje mana alikua amekasirika sana ,akawa analia mwenyewe anaiokota Ile picha nikasema duh ana nini?🙄 nikamuomba msamaha akawa ananiangalia tu niache siko sawa mmmh nikasema kwahiyo haniomb msamaha😳kanitandika kibao😂😂😂 🏃🏼♀️ nikamuacha asije niua bure😭 akazoa vile vioo vilivyovunjika mimi hapo nasema dah mbona anajishughulisha sana😭😭😭 sipendwi kabisa mimi anapendwa wa kwenye picha😭 basi nikamwambia nisamehe kwa kuvunja akasema nisijali picha ataitengeneza tena tu duhhh aseee🙌🙌 hakuniongelesha tena na mimi sikumuongelesha chochote nikawa kimya nitulize komwe langu😒 tukalala asubuhi yake akaenda kazini lakini mida ya saa nane akanipigia akasema nijiandae anapita hapa nyumbani sikujua tunaenda
0 Comments