DAAAAAAAH💋🙈14

DAAAAAAAH💋🙈14

By Simulizi za john 0789 824 178 @topfans 1000 Nilitoka mbio ofisini mpaka nje barabarani nikasimamisha bajaji nikamwelekeza dereva nipeleke hospital fulani.. Nilienda mpaka hospitalini nikakuta mama Bill yuko pale ni analia tu masikini mwanae yuko icu anapumlia mashine.. Nilianza kumbembeleza mama nikapiga simu na kwa wazazi wangu nikawapa taarifa kuwa Bill kapata ajali mbaya yuko icu kalazwa.. Basi wazazi wangu walifika pale tukaanza kumfariji mama Bill.. baba Bill yeye kwa muda huo alikuwa safarini nje ya nchi alikwenda kumuona binti yake Baila.. basi taarifa za Bill kupata ajali ziliwafikia watu mbalimbali wengine wakafika pale hospitalini kutoa pole.. Tulikaa hospitalini

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments