
Basi buana safari ikawa inaendelea mie tena na bakuli langu lisilonyamaza nikaona bora tu niulize kulikoni kwanii Eti we kaka mjeda tunaenda wapii??? Kaa kimyaa hata hivo tunakaribia kufika!!!!!!!!yule kaka akajibu kwa kufoka hatari Mie tena kiranga komaaa nikasema siulizi tenaa sio kwa majibu hayo walahiii Basiii na kweli haikuwa mbali sana hatimae naona gari likatia nanga nnje la duka moja kubwa la nguo lipo huko sinzaa Silijui kwa jina maana liliandikwa kwa kiingereza na mimi mwenzenu sijasoma sasa nisije kuwaongopea buree Shuka kwenye gariiii ingia humo ndani na usinisogelee, kama kawaida ya mjeda kufoka Nikashuka zangu kwenye gari juu
0 Comments