DADA KIBOGA NA MJEDA: 08

DADA KIBOGA NA MJEDA: 08

Ilipoishia Gafla nikasikia Kiboga!!hamuwa mwengine vali mama mkwe ,nilipoinua uso nikamwona yupo mbele yangu Abee mama nikaitikia huku macho yangu yakiwa yanaangaza chini kama nimeona hela kwenye sakafu vile 🤣🤣🙌🙌 Kiboga binti yangu??nikaitika tena abee mama angu huku nimeinama chini mie naona aibu🤣🤣🤣nikizingatia niliyotoka kuropoka acha tu🙌🙌🙌 Mama mkwe akanisogelew akaninyanyua kidevu changu ,mie nikamuangalia kwa uoga uoga asije kunitemea mate bure mie😔😔😔 Mwanangu mimi na baba ako mkwe tumekukubali jinsi ulivyo Wewe ni mchangamfu,unaonekanmstaarabu sana na una heshima hivo sisi tumekupokea kwa mikono miwili ,haijalishi umeishia darasa la ngapi tunachoangalia sisi ni uwe mke bora kwa mwanetu na sisi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments