6 - 10🚩🚩🚩🚩🚩🚩 𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞

6 - 10🚩🚩🚩🚩🚩🚩 𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞

:06 Dada alisema “mimi ninamuamini sana yule dada. Sio mtu wa polepole. Hawezi kunidanganya tena baada ya kumuonesha picha yako alikusifia sana kuwa unafaa sana na alipenda mno ngozi yako. Mimi ninayo imani tumpe muda. Ila mdogo wangu, kamwe tusije msahau huyu mzee hapa.” Nilitabasamu nikisema “siamini hata, tusubiri kesho tu.” Dada alicheka akisema “sasa lala, kesho tutampigia atuambie nini kinaendelea.” Nikamkumbatia dada yangu, kisha nikashika mikono ya dada yangu na kusema “Asante sana dada yangu. Nakupenda. Nashindwa kuongea ila una moyo mzuri. Unapenda mdogo wako nipate. Unanipambania sana.” Dada alitabasamu na kusema “wewe ni mdogo wangu, sisi ni damu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments