DADA KIBOGA NA MJEDA: 13

DADA KIBOGA NA MJEDA: 13

Sauti hio haikuwa ya mwingine bali ya kondaaa , ndo nikashtuka na kumuangalia Abee kaka shida nini??? Gari ishafika mwisho pingo hapaaa konda akanijibu Ile kuangalia nnje kumbe kweli nimeshafika ni vile tu usingizi nilipitiwa Asante kaka angu , nikaitia kisha nikajikaza kinyonge nikashukaa Japo sikuja chalinze miaka mingi kutokana na ubize wa maishaa lakini sikupasahau hivo moja kwa moja nilianza safari hadi kwenye kijumba kangu Nilichukua kama dakika kumi nikafikaa kwenye kijumba hikoo Mlango ulikuwa nimeuegesha tu hivo niliupush nikaingiaa Humo sasa🙌🙌🙌🙌nikakuta mimavi ya paka mbwaa jamanii Nikaanza kusafishaa nikafagiaaa huku naliaaa😭😭😭😭yaani hasira zangu zote nikazirudisha sakafuni nafagiaa kwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments