
" Asante kwa kuniambia nitaenda kuongea nae " Winnie alienda ofisini kwa Elian " Hi honey " Winnie alitaka kumkiss Elian shavuni Elain akamzuia " Ulikuwa wapi unanijia nyumbani saizi ukiwa unanukia perfume ya kiume ?" Elian aliuliza Kwa kufoka " Nilisahau kukwambia honey nilikuwa nyumbani kwa rafiki yang..." Kabla Winnie hajamaliza kuongea alikatishwa na kibao Cha shavu " Huyu ndo rafiki yako ? Yani unanifanya mimi mjinga na unanilazimisha nikupigie ikiwa Sina tabia hiyo ya kupiga mwanamke " " Honey huyu ni rafiki yangu nakuapia " Winnie alijaribu kumuelezea Elian lakini hakumsikiliza alimsukuma nje ya ofisi yake akafunga mlango
0 Comments