
"Laura, nikuambie kitu? "Ndio niambie mpenzi" "Laura, wewe ni wathamani kubwa sana maishani mwangu, unajua kuwa siku ya kwanza tuu kukuona pale kambini, moyowangu uliniambia huyu ndio yule uliekuwa unamtafuta, na nilipo kusogelea hata mapigo yangu yamoyo yaliniambia kwa inshara kwani yalibadilika gafla, Laura nilijaribu kupingana na hiyo hali kwakujaribu kukuweka mbali nami, lakini hatma pia zilikuwa zinatukutanisha, kwani ile siku nilipokuambia ukae tule wote, nilifurahi sana huo muda niliuweka katika kumbu kumbu zangu, nakupenda Laura wangu" "Naje mbona ulikuwa ukinitesa sana kambin "Yote hayo niliyafanya ili nikuweke mbali namimi kujaribu kupingana na hatima yangu lakini nilikuwa nakutana tena nawewe
0 Comments