
Nikatoa macho, maana kwa kumbukumbua zangu ni ile mara moja tu ndio alikutana na mimi kiumwili, sasa anaposema kuwa amekuwa akilala na mimi kwa muda mrefu sikuwa nimemuelewa amemaanisha nini.. nilijenga ghorofa na kuelekeza dirisha la chumba changu sehemu ambayo ningeweza kukuona vyema ukiwa kwenu, na kwe.i nilifanya hivyo, nisamehe mke wangu maana nimejichukulia sheria mkononi mara nyingi kwa kukuchungulia dirishan bila wewe kujua, nilikuwa natakan nilale na kuamka na taswira yako kila siku, akasema.... ila wewe mwanaume sikuwezi, nilishangaa kweli kuona ukikaa pale chumban kwako unaona kila kitu kwenye chumba changu, nikasema nisijipe mawazo yasiyo ya msingi, kumbe hata
0 Comments