JAMANI WE MKAKA UNANISHIKA WAPI UKO Sehemu 01

JAMANI WE MKAKA UNANISHIKA WAPI UKO Sehemu 01

Lucy na Sasha walikuwa marafiki wa karibu tangu chuo. Siku hiyo, jua lilipokuwa linazama, Sasha alimualika Lucy nyumbani kwao mahali alipokuwa akiishi na kaka yake mkubwa, Issa. Nyumba ilikuwa ya kawaida, yenye utulivu wa ajabu. Walikaa sebuleni wakicheka, wakikumbuka mambo ya zamani. Issa alitoka chumbani, akawasabahi kwa heshima, kisha akaondoka zake nje kidogo. Baada ya muda, Lucy akaamua kuondoka. Sasha alimfuata hadi mlangoni, wakakumbatiana kirafiki, Lucy akatoka nje. Baada ya kuondoka kaka yake ,lucy aliingia sebuleni na anampenda sasha toka zamani.Alipomuona alimsogelea na kusema “Sasha,” sauti ya kiume ikaita kwa utulivu. Aligeuka. Alikuwa ni Issa. “Samahani kukufuata,” alisema, “nilitaka tu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments