🚨DEAL DONE: Usiku huu Simba wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Singida Black Stars,Jonathan Sowah✅

🚨DEAL DONE: Usiku huu Simba wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Singida Black Stars,Jonathan Sowah✅

Simba wamemfuata Sowah na Project nzuri kijana amekubali na dili limekamilika✅ Rasmi msimu ujao Sowah atavaa jezi ya Mnyama…. What a signing kwa Mnyama Simba🙌 Kwa habari zaidi follow @usajili_na_hansrafael14

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments