DOCTA SIUMWI HUKOO.. Sehemu ya 01

DOCTA SIUMWI HUKOO..  Sehemu ya 01

Ulikwenda hospitali mke wangu?" Masofa alimuuliza mke wake Sulee. "Nilikwenda, lakini daktari kasema mimba nitapata tu ndani ya mwezi mmoja." "Ndani ya mwezi mmoja utapata mimba? Inawezekana kweli? Hujamwambia kwamba tumehangaika kutafuta mtoto kwa miaka nane, sasa ndani ya mwezi mmoja mimba itapatikana vipi?" "Mimi sijui Masofa." "Mh! Haya, kwa sababu tumeambiwa na mtu tunayemwamini tuangalie, labda kweli daktari yule atatusaidia. Hakusema uende na mimi?" "Hakusema Masofa, ila alisema kama naweza kesho na keshokutwa niende usiku saa moja ili anipime vizuri." "Alikupa dawa?" "Dawa atanipa kesho." Masofa alichukua simu akampigia rafiki yake Miraji... "Ee bwana Miraji, yule dokta uliyemsema kasema

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments