
"Bilionea Mr Jovin Jailo Afirisika Gafla Baada ya kampuni Yake kupigwa mnada Wa wazi kisa madeni na ukwepaji Wa Kodi!" Hivyo vilikuwa ni vichwa vya habari ambavyo vilikuwa vinasambaa kwenye kurasa za udaku mitandaoni. Kipindi hicho Binti Nuru ambaye Ndo Mke Wa Jovin alikuwa na ujauzito Wa Mwezi Mmoja, Yaani meno yalikuwa yanamtoka na anacheka pekee Yake, maana ilikuwa ni uhakika kwamba pale kwa Mr Jovin hawezi kutoka patupu hata wakiachana maana Tayari anaenda kuwa na mtoto Wake!. "Yaani mwanangu Ndo atakuwa ngao Yangu!, na huu Ndo Muda Wa kudeka Wa kutaka chochote nikitacho kwa Mr Jovin, na hapa lazima
0 Comments