DOCTOR BOSS ANATAKA TENA ❤ EP 12.

DOCTOR BOSS ANATAKA TENA ❤ EP 12.

Nilimkaba, nikaanza kumpiga na ule uzungu wake ata hakunirudishia aliacha nimpige adi nitosheke, hasira ziniishe,P ivi unajua maisha niliyonayo? Mimi sio wakishua naishi kwa kuunga unga, mimi ndio tegemeo la familia, unaamua tu kwa tamas zako kuniharibia maisha kweli? Unajua kwetu nategemewa kiasi gani? Watu wanalala njaa ili mimi mkombozi nisome, leo nawarudia na mimba kweri P, unataka niwauwe wazazi wangu kwa pressure... Nililia kwa uchungu P alonimbembeleza mno haikusaidia nilimwambia aondoke, au kama anataka tena kunibaka aseme haina haja ya kujificha mimi ni jalala lke la kumwaga taka zake,aliumia nakusema " D sikupanga kukuumiza plz nisamee na niko tayari

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments