DOCTOR BOSS ANATAKA TENA* ____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

DOCTOR BOSS ANATAKA TENA* ____________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

Niliona ile arama ya siku ile na bakwa, pale pale nilidondosha mfuniko niliokuwa nimeshika, nikawa natetemeka kwa hasira, P akawa ananishangaa nini tatizo, nikawa naangalia tu mkono wake, akafunika harakaharaka apo apo nikagundua ni yeye, nyie usiombe ikukute, nilitaka kudondoka akanidaka,nililia uku sitaki anishike, alinimbembeleza uku anaomba nimsikirize, alinipeleka kitandani akanizimba mdomo, kam a alivyofanya siku ananibaka, alianza kuongea huku analia... " D ukweli nakupenda mno, nakupenda mno mamy ulivyonikataa niliumia, nilishindwa kuvumilia, nikaamua nitafute njia ya kuwa na wewe milele, nahitaji kuishi nawewe, niliamua kufanya ili kosa, na nilikufungia kule ili usije ukameza dawa za kuzuia mimba nilihitaji hio

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments