
Usiku ule Leon alirudi nyumbani akiwa hana amani kabisa. Alipoingia sebuleni aliweka lile ua juu ya meza, macho yake yaliendelea kuliangalia kana kwamba lilikuwa na nguvu ya ajabu ya kuvuta mawazo yake. Alijaribu kulipuuza, lakini kila mara alipojaribu kuliangalia alihisi kuona taswira ya Jasmine ikicheka, ikitabasamu na hata namna alivyolala usingizi ndani ya gari ilijirudia kichwani mwake. “Kwa nini huyu msichana ananifanya nipoteze mwelekeo? Huyu ni secretary wangu tu… nothing else!” Leon aliongea kwa hasira huku akinyanyua grass cha maji ya kunywa akanywa kidogo Lakini hata alipokunywa, moyo wake haukupoa. Kesho yake kazini, Jasmine aliingia ofisini akiwa amevalia suti ya
0 Comments