πŸ’•πŸ˜πŸ’–DRAMA OF LOVEπŸ’–πŸ˜. part 34.

πŸ’•πŸ˜πŸ’–DRAMA OF LOVEπŸ’–πŸ˜. part 34.

πŸ’•πŸ˜πŸ’–DRAMA OF LOVEπŸ’–πŸ˜. part 34. Mlango ulibishwa kwa sauti ya chini mno. Kuchungua ivi nikaona na Brianna.. woih sikufungua, nilimrusisha hukoπŸš’πŸ₯Ί. Wueh sema mtoto kujam.πŸ˜‚πŸ˜‚ "Wakati hakuna jua, wakati hakuna mvua,, huwezi ona dhamana ya mwavuli(☂️). Leo unanidharau lakn ngoja wakati wa kuhitaji msaada wangu😭😭. Sky you will call out my name but I will be no where to be found πŸ™πŸ™. Utalia machozi lakn sitakuwa karibu niyaoneπŸ™. Najuwa hata kama unampenda mtu kwa kiasi gani,, huyo mtu akianza kukudharau na kujifanya hajali feelings zako, hayo mapenzi huisha kabisa😭😭. It's okay, nmekubali hunitaki😭. Goodnight Hiyo ni message ya BRIANNA,, after

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments