MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 19

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 19

MARIAπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜ Sehemu ya 19 Mwandishi :lissa mwalla TUENDELEE Tukafika kwa joan akapiga hon ile kusubir kidogo get likafunguliwa joan kavaa mtandio mwepes na chup na sidilia vikionekana, mmeona michepuko inavyojituma mm nikawa nimelaza kiti asinione mme wangu akaingiza gar ndan akafungua mlango akatoka yule dada akamkumbatia eti bby waoooooo nilikumis my lov jmn alisukumwa kwa nguvu mme wangu akasema usinishike tena kona kushika shika mwili wa maria huu Joan hadi akaanguka na mie nikatoka kwenye gar mme wangu akamwambia chukua nguo zako utoke hapa mana mm si ndo nililipa kodi na kununua kila kitu hapa ondoka zako, kwa woga huku

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments