
Ni mwezi na nusu ulikuwa umekatika tangu Ray alipotoroka na kwenda dar kuishi pamoja na Nasma. Hata hivyo bado kazi walikuwa hawajafungua bado kwa sababu ya kampuni yao bado kutokuruhusiwa kufanya kazi kwani ilikuwa imeenda kinyume cha taratibu, licha ya kwamba mshahara walikuwa wakipokea kwani bado mkataba ulikuwa unasoma ni wafanyakazi wa pale Raymond na Nasma walikuwa wanapendana na maisha ya kuishi pamoja yalikuwa yamewapendeza wote wakawa na afya safi na kuwa na mashavu kwa kweli. Ni siku mbili zilikuwa zimepita tangu Nasma akatae kwenda kule salon kwa ajili ya kujifunza suala zima la ususi "Sasa kwanini umeamua kuacha mke
0 Comments