Fanya hivi kama mwanaume akikupotezea baada ya kulala naye!

Fanya hivi kama mwanaume akikupotezea baada ya kulala naye!

Umekutana na mwanaume, amekutongoza kwa muda mrefu, au hata hakutumia muda mrefu lakini mwanzo hukuwa unamuelewa. Ulikuja kumuelewa na sasa mmeingia kwenye mahusiano, ukakubali kulala naye. Kabla ya kulala naye, alikua mtu wa kukupigia simu mara kwa mara—asubuhi anakujulia hali, mchana mnaongea, na usiku mnaongea mpaka wewe mwenyewe unachoka. Wewe ndiye unaomba muache kuongea kwa sababu ya usingizi. Sasa umekubali kulala naye, lakini baada tu ya kulala naye, wakati wewe unaendelea kuchanganyikiwa juu yake kwa mapenzi, yeye anapunguza mawasiliano. Hapigi simu kama zamani, na mkiongea majibu yake ni ya mkato, ni kama vile anakususia. Najua akili yako inawaza, "Nimemkosea nini?

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments