Mume wa zamani wa Karishma Kapoor aitwae Sunjay Kapur amefariki dunia.

Mume wa zamani wa Karishma Kapoor aitwae Sunjay Kapur amefariki dunia.

Taarifa kutoka vyazo mbali mbali nchini India vimeripoti kuwa Sunjay amefariki leo akiwa kwenye mchezo wa polo nchini huko nchini Uingereza akiwa na umri wa miaka 53. Sunjay/Sanjay Kapur alikuwa mume wa Karishma tangu mwaka 2003 na kuachana mnamo mwaka 2016 na Walipata watoto wawili ambao ni Samaira (2005) na Kiaan (2011).

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments