
“Kwahiyo ninavyokuita unisikii au ??” Aliuliza mwanaume huyo baada ya kumkuta hapsa jikoni akisafisha vyombo. Hapsa Anageuka na kumuangalia KWa muda na kumjibu. “Yaani unaniita Kama umepatwa na kichaa ndio nini Yaani, unapaza sauti kiasi hiko utazani Mimi ni KIZIWI vile” Mkaka huyo anamshika hapsa vizuri sana na kumshushia mabao matatu mfululizo. “Nafikilia Leo ndio utajua maana ya kumuheshimu mtu si ndio ! Hapsa mimi ni mkubwa sana kwako na haujafikia hiyo level ya kunijibu Kama hivyo Sawa ? Ninapokuita lazima uitike haijalishi nimekuita kWa sauti gani Sijui unanielewa. “Vice niachie unaniumiza” Alilalama hapsa uku akilia na machozi yakimtililika kama
0 Comments