Fernando Sucre aliingia Gerezani kwa sababu ya Mwanamke akavumilia mateso lakini pale tu kifungo chake kilipokaribia kuisha akapata mchongo wa

Fernando Sucre aliingia Gerezani kwa sababu ya Mwanamke akavumilia mateso lakini pale tu kifungo chake kilipokaribia kuisha akapata mchongo wa

Muhuni anaitwa Fernando Sucre aliingia Gerezani kwa sababu ya Mwanamke akavumilia mateso lakini pale tu kifungo chake kilipokaribia kuisha akapata mchongo wa kutoroka ndani ya Gereza na kweli akasepa kwa sababu ya huyo Mwanamke. Walipotoka nje wenzake wote wakiwa katika mchongo wa kuzitafuta dola million 5 lakini yeye hakuwa na mpango nazo lengo lake kubwa ni kumfuata yule Mwanamke aliyefanya atoroke jela kwenda Mexico kuzuia asiolewe na rafiki yake. Sucre aliacha utajiri sababu ya kuusikiliza Moyo wake ulipopenda. Sucre amefundisha mengi humu ndani ya Prison Break kuhusu upendo wa Mwanaume. Zaidi ni kuwa Mwanaume anaweza kufanya chochote akipenda na ukipendwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments