
za kuchunguza uwezekano wa kufanya marekebisho makubwa kwenye kanuni za upigaji penalti, hususan kuhusu mabao yanayotokana na mipira inayotemwa na kipa. Kwa mujibu wa mapendekezo hayo, mshambuliaji atapewa nafasi moja tu ya kupiga. Ikiwa kipa ataokoa au mchezaji atakosa, mchezo utaendelea mara moja kupitia mpira wa kuanzisha kutoka kwa kipa, ama kwa kutupa au kupiga. Mabadiliko haya yanatajwa kuwa na lengo la kupunguza changamoto za waamuzi katika kutoa maamuzi, huku pia yakilenga kuongeza ujasiri na nafasi ya walinda mlango. Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi ya FIFA, Pierluigi Collina, ndiye kinara wa wazo hilo. Anasisitiza kuwa utekelezaji wake unaweza kupunguza utata
0 Comments