
, na sauti inatoka kwenye simu ya dada, nyie niliogopa nikapiga magoti haraka, Boss naomba unisamehe ni mimi dada angu hahusiki nitasaini mkataba niko tayali, nikiwa najitetea dada nae aliingilia akidai atalipa kila mwezi apewe muda, "kwahiyo kila mtu anahitaji kulipa ok nipeni muda nifikirie nitachagua kwa leo sina majibu, acha nikatafakari zaidi, aliongea ivyo kisha akasepa aisee nilichoka, nikiwaza uko nyumbani mzee awezi kuelewa na hata hizo pesa hana, sitaki kumpa hofu, tulienda dukani kwa dada angu, ili nikabadilishe nguo na kutuliza kichwa kidogo, niliona niongee tu na dada, nilikumbuka shemeji alivyonilaumu sana leo, nilimbembeleza dada asilipie mimi ndo
0 Comments