
Klabu ya Fountain Gate inaingia dimbani saa 8 mchana huu ikiwa na wachezaji 13 TU waliosajiliwa na mfumo wa usajili kutokana na MATATIZO YA KIUFUNDI ambayo hayawahusu FOUNTAIN GATE kitu ambacho kina chembe chembe za UONEVU. Fountain walikuwa na kesi na Amisi Tambwe kule FIFA wakafungiwa kusajili, lakini baada ya kumaliza tofauti zao na Tambwe na FIFA wakakubali kwa barua ya tarehe 1 Septemba 2025, kwamba jambo hilo limeisha wakaondoa hiyo ban, wakawaambia TFF pia kuondoa ban ya ndani pia. Lakini bado Fountain Gate wameshindwa kusajili wachezaji wao kwenye mfumo wa usajili (FIFA CONNECT) jambo ambalo walilipoti TFF na TFF
0 Comments