UMENIBADILISHA WEWE 01___05 Mpendwa msomaji Leo na kuletea kisa hiki kinachokwenda kwa jina /Umenibadilisha wewe)

UMENIBADILISHA WEWE 01___05  Mpendwa msomaji Leo na kuletea kisa hiki kinachokwenda kwa jina /Umenibadilisha wewe)

hiki ni kisa ambacho kitakufunza mengi ukiwa Kama kijana, binti, mzazi na mlezi,.....wewe uliye kwenye ndoa na hata wewe unaetarajia kuingia katika ndoa.. ......... karibu tujifunze pamoja na kufurahi pamoja UMENIBADILISHA WEWE Sehemu ya 1 Katika nyumba moja alionekana kijana akipanga nguo kwenye begi alipomaliza alichukua begi hilo akatoka nje na kuliweka kwenye gari kisha na akaingia kwenye gari na kuondoka. "Hallo Joel make sure nafika hapo nikute uko tayari" Aliongea kijana yule na kukata sm Aliendesha kwa mda wa dakika 30 akawa amefika sehemu husika , geti lilifungulia akaingia na kupark gari akashuka na kwenda moja kwa moja ndani

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments