
ananikumbuka, basi ataomba kuongea na mimi, lakini kuna maelekezo alikuwa anampa mkuu wa kikos changu, na kisha alipo maliza hakuuliza chochote alikata simu hapo hapo, nilikaa taratibu kwa unyonge huku machozi yakinitoka, mkuu wa kikosi changu akaniruhusu niende kupumzika, nahisi alikuwa kahisi kitu lakini hakutaka kingilia, mkuu wangu wakikosi nimstaarabu sana na mtaratibu mwenye busara, nilienda moja kwa moja chooni aikutaka kwenda bwenini, kwani sikutaka wanione nilivyokuwa na huzuni, nikiwa huko chooni alinifuata kwa nyuma bila kumuona Nancy, aliniona hali niliyokuwa nayo akanifuata hadi chooni, nililia sana kiukweli huku nikisema: "Ethane hujui tuu ninavyo kupenda mwenzio, nashindwa kula nashindwa kulala
0 Comments