
WhatsApp 0742133100 SEHEMU YA 07. Niliwatizama waliniona ila walinipotezea kabisa kisha General aliinuka na kuondoka wale wasichana wambea wakaanza kusema: "Nancy anabahati sana jamani General anampenda kilamsichana hapa kambini anatamani kupata nafasi ya kuwa na gentleman kama General kiukweli Nancy anaraha sana" Nilijikuta naumia mno na nachanganyikiwa kusikia maneno kama hayo, nikainuka kwa hasira na kuanza kuelekea bwenini Nancy alinikimbilia na kuniita: "Laura!.... samahani" Nilijifanya sijamsikia kabisa ndio kwanza niliongeza mwendo, na kuwahi bwenini kwetu nilipofika nilipanda kitandani na kujifunika shuka langu, alikuja moja kwa moja Nancy hadi bwenini na kuja nilipokuwa nimelala, akaanza kuniambia: "Laura ndio nini nakusemesha umenikimbia,
0 Comments