
" Aloooo. " Dah yani....π Bahati mzuri kumbe simu ya mke wangu ilikuwa imejipiga tu ile kwa bahati mbaya anaiweka kwenye pochi na aikuwa na dk za kutosha ikakata, Sasa akashindwa tena kuchukua namba simu imerudi kama mwanzo, Akaona isiwe tabu akairudisha simu chumbani kwangu. " Sasa upande wa washenga wamepeleka barua na majibu wamepewa na tarehe ya ndoa wamepanga, Yani mama uku anagawa sale ya ndoa, Kijiji kizima kililipuka kwenye kupokea sale ya ndoa, Mimi nipo kwenye kitendawili kizito sana sina furaha nawaza juu ya mke wangu atanichukuliaje? Kidume nikaona nimpigie simu mke wangu nimwambie ukweli juu ya hili
0 Comments