Issookkeey…! Unaelewa kwa nini Pantev hakuwa anataka kutumia mastraika kwenye michezo yake!?

Issookkeey…!  Unaelewa kwa nini Pantev hakuwa anataka kutumia mastraika kwenye michezo yake!?

Mechi yenye reaction bora mno kwa Ibenge…! Kipindi cha kwanza ni Simba walikuwa butu kumfunga na Azam walikuwa dhaifu na ilionekana muda wowote watafungwa. Kipindi cha pili kilikuwa HATARI 🔥 Simba SC wana shida kuliko PANTEV au Matola…! Timu inafungwa kwa sababu wanakosa magoli rahisi ya kufunga, wana kundi la wachezaji ambao pale mbele wanastahili mabadiliko haraka! Azam FC leo kabadilika mno…! Hawakuwa na kiwango bora kwenye ligi lakini dakika za kipindi cha pili ni ndoto ya Ibenge na Azam FC. Walivyocheza juzi na kipindi cha kwanza walikuwa wana sababu elf za kufungwa! SUBS zao ziliua mechi 🔥🔥 TOP Wilson

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments