
0742133100 Tuliongea sana na kupanga mambo mengi yamaisha yetu, hakika nilifurahi mno kwa upande wangu, siku iliisha na siku iliyofuata wale washenga walikuja na kupewa majibu, wakaondoka tukaanza kujiandaa kupokea mahari, hatimae siku ilifika ya kupokea mahari, mahari walileta wale wale wazee na ikapangwa tarehe ya harusi, ilikuwa haraka haraka Ethane hakutaka kuchelewa tena, tukiwa kwenye maadalizi ya harusi, Ethane aliona ipo haja ya kumjulisha sasa mamaake, mama yake hakufurahi kabisa, aliamua kuwataarifu baba mkubwa na shangazi zake Ethane, aliwaambia kwa namna ya yofauti mno, kiasi kwamba siku moja Ethane akiwa na hekaheka ya maandalizi ya harusi, alipigiwa simu na
0 Comments