
👉 Dah nipo kwenye mtihani kweli uyu baba mkwe ananitaka kweli nafanyaje hapa..👇 Nilitoka jikoni maana asije kunibaka akawa anaongea) " Mbona unanikimbia. " Baba mimi sitaki mazoea ayo wewe ni Sawa na baba yangu mzazi. ( Mala namsikia mama mkwe anaongea na simu nje anakuja ndani) " Nishafika naomba uje. ( Baba mkwe akatoka jikoni fasta akaenda chumbani kwake kama sio yeye anayejitoa ufahamu...nilirudi jikoni kuendelea kupika mama mkwe akaingia akakaa sebuleni mala akaja mama mwengine nikaitwa kutambulishwa) " Mwanangu uyu ni mkweo vile vile mimi namwita wifi ila wewe utamwita shangazi ni dada wa baba yako mkwe ambapo
0 Comments