GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 19

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 19

0742133100 Aliendesha  na kuanza safari yakurudi dar,  japo kuwa muda ulikuwa umeenda lakini hakujali,  alifika dar mida ya saa saba ya usiku,  na kwenda moja kwa moja kwake alilala hadi palipokucha asubuhi na mapema,  alitoka na kwenda kwa General mstaafu anamuheshimu kama babaaka,  alienda kuongea nae na kumuomba jioni ya leo akamsaidie kupeleka barua ya kunichumia mimi,  yule mbaba alikubali na kufurahi sana, kwani amekuwa akimsisitiza kupata mwenza wa maisha sasa ndio kamfurahisha sana,  hatimae muda ulipofika nikiwa nyumbani mimi na shangazi yangu pamoja na mjomba, tulisikia kunawageni wamekuja  hivyo mjomba alimuambia dada wa kazi awakaribishe ndani,  alifanya kama alivyo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments