
, alikuwa ni mwanamitindo anae fanya kazi zake nchi mbali mbali alikuwa na furaha sana akiwa na kazi zake za urembo, kakazake Fred Franco na France walikuwa na kazi zao japokuwa walikuwa bado wapo nyumbani kwakuwa walikuwa bado hawajaoa hivyo mamaao alikuwa anataka wasitoke pale mpaka watakapokuwa wameoa, sikumoja Erica alikuwa na rafikiake Vanessa wanataniana Erica anamwambia Vanessa twende nyumbani kwetu leo Vanessa akamjibu umeniandalia nini mpaka unipeleke kwenu Erica akajibu nina makaka ma handsome hatari twende ukachangue Vanessa akacheka na kumwambia kuwa nitaenda nijionee, Erica akamwambia tulia Walianza safari yakwenda nyumbani kwa kina Erica walifika mama wa Erica aliwapokea
0 Comments