⚠️ Hadithi hii inahusu maisha ya kifamilia, uzuri, na changamoto za kuanza shule mbali na nyumbani. Inafaa kwa watu wazima pekee. KAYLA Sehemu ya 1

⚠️ Hadithi hii inahusu maisha ya kifamilia, uzuri, na changamoto za kuanza shule mbali na nyumbani. Inafaa kwa watu wazima pekee.  KAYLA Sehemu ya 1

Mwabdishi; maramoja the great Wassap: 0789 824 178 Simulizi za john 1000 Kwa majina naitwa kayla jackson mwasomola mimi ni mtu wa asili ya mbeya pure mnyakusya kabisa ,wazazi wangu wote ni watu wa mbeya na wanyakusya kabisa mimi ni mtoto wa pekee katika familia yetu na mm nilipatikana kwa shida sana nilikua namsikia sana mama akiwa anasimulia kuwa waliaangaika sana uzazi hadi kunipata ,na walinipata wakiwa katika umli mkubwa so nilikua napendwa mm nadekezwa vibaya sana akuna kitu nilitaka nikakosa,mm nilizaliwa katika familia ya kishua sana mzeee wangu alikua na pesa chafu alikua na kampuni kubwa jijin dar ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments