HAIZIMI 10 ❤❤.

HAIZIMI 10  ❤❤.

ENDELEA......... Kwanza alianza kujiliza mbele ya Agatha kitu kilichomshangaza. "Kinachokuliza ni nini sasa!?" "Agatha!" "Jina langu!" "Najua unahasira na mimi ila na jambo zito la kukwambia!" "Lina kilo ngapi hilo jambo!?" Oscar alimso..gelea na kumshi..ka kitu kilichokuwa ni kosa. "Unajua hii nguo ina thamani gani mpaka unishike!?" Agatha aliongea kwa hasira na kushika mkoba wake na kutaka kuondoka ila Oscar aliona liwalo na liwe. Pale pale alimshika na kumlaza kwenye kochi kwa nguvu. "Unataka kufanya nini!?" "Nipo kwenye matatizo mazito mno ya kuokoa maisha yangu utanisamehe kwa hili Agatha!" Ka mchezo vile ila alianza kulitafta tunda la Agatha na bahati

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments