
ENDELEA......... Baada ya kuona mambo yako vile vile alijchukua simu yake na kumpigia nesi na simu ilipokelewa mda huo huo. "Oscar!" "Nesi sipo sawa nahisi naelekea kukata moto!" "Kuna nini tena Oscar? kwanza punguza plesha ili uniambie vizuri!" Oscar alimwambia ukweli nesi pasipo kumficha na jinsi alivyokuwa akisikia maumivu makali kwenye mwili wake. "Unajijua kabisa unamatatizo kwanini unafanya map...nz mda wote Oscar jamani!?, utakuwa sawa tu ila jaribu kwenda kuoga na kama utaogea maji ya baridi itakuwa vizuri zaidi, pia utumie vile vidonge unavyokunywaga" "Nimeshatumia!" "Basi nenda ukaoge kwanza!" Oscar alikata simu na kwenda bafuni kuoga. Huku kwa binti mwenye
0 Comments