HAUZIMI 20 ❤❤

HAUZIMI 20 ❤❤

ENDELEA.............. "Mmmh ulijichanganya mwanangu na wewe ile familia ni hatari kijiji kizima tunaiogopa mno!" "Nifanyeje sasa mimi maana nimetumia njia zote kumshawishi Chausiku akubali ila kagoma kabisa tena anakataa sio yeye!" "Hawezi kukubali yule hata umuuwe, ndivyo wachawi walivyo hapa cha mhimu nenda umsikilize kitu anachokitaka baada ya hapo uje uniambie tushauriane, sitaki kulikulupukia hili jambo maana wale hawachelewi kukuondoa!" "Mmmmh kumbe wanaogopeka hivyo sasa mbona hamkuniambia kile kipindi!?" "Kwani ulivyoenda kumtongoza Chausiku ulitujulisha!" "Hapana!" "Tungejuaje sasa sisi kama mnamahusiano ya siri!?" Oscar aliona kweli ulikuwa ni uzembe wake mkubwa kwa kushindwa kuwashirikisha wenyeji wake na laiti kama angefanya hivyo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments