HUYU Ndio KOBOKO au Kwa jina la KINYATURU ni BLACK MAMBA.

HUYU  Ndio KOBOKO au Kwa jina la KINYATURU ni BLACK MAMBA.

Sifa ya Black mamba Ni aibu dhidi ya binadamu,huwakwepa sana asikumbane nao Ila akibananishwa kwenye kona,akaona hakuna namna Anakuwa hatari sana huyu NYOKA anaweza kukugonga mfululizo, Kingine anaweza kusimama robo tatu ya mwili wake jambo hata Kobra haliwezi..... Akishasimama hupendelea agonge maeneo ya kichwani.... KIUFUPI Kama huu muziki hauwezi kuucheza, Usikamate fimbo kuingia ulingoni naye maana ana speed sana. Ndio nyoka pekee Anayeongoza kwa idadi kubwa ya kufanya mauaji Ndani ya bara la Afrika,Hasa katika maeneo Wanaopatikana kwa wingi. Ukali wa sumu yake Unampatia urihisi wa kuyafanya mawindo yapooze kiurahisi kama panya, Ndani ya Nusu saa,usipopatiwa matibabu ya kuondoa sumu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments