
Mpiga picha wa kujitegemea (Freelance Photographer), anayejikita zaidi kwenye michezo, hasa soka
Mpiga picha aliyeidhinishwa na CAF (Shirikisho la Soka Afrika ,π Mshindi wa tuzo ya “WOMAN POWER of the Year”
Anafanya kazi kimataifa, akiwakilisha wanawake wa Afrika kwenye tasnia ya upigaji picha wa michezo
Ana wafuasi wengi sana Instagram (zaidi ya 97,000), ishara ya ushawishi mkubwa kwenye tasnia Kwenye mchezo wa kwanza wa Senegal dhidi ya Botswana kwenye michuano ya AFCON alipiga picha bora iliyopendwa na watu wengi haswa nyumbani kwao.
#halisimax #halisimedia #halisimediatz
Soma zaidi
0 Comments