
Sauti ya pikipiki ikija upande wetu na kunifanya nijitoe kweye mikono ya mzoa taka na kurudi ndani huku nikimuacha na upwiru wake. Sikujua kilichoendelea baada ya kumuacha mzoa taka peke yake ila mimi nilifika mpaka chumbani na kumkuta Alex ameamka kutoka usingizini. "Ulienda wapi Irene!?" Alex aliniuliza na mimi niliamua kumdanganya kwa kumwambia kuwa kuna kitu nilikisahau nje. Basi tuliendelea kulala na palivyokuja asubuhi nilikuwa wa kwanza kuamka na kwenda kufanya usafi kwenye chumba cha wageni kudeki mikojo ya mzoa taka aliyokoja usiku uliopita. "Mmmh ivi mimi kweli ndiyo wa kuwa kwenye mahusiano na mzoa taka...!!" nilijiuliza mwenyewe huku nikiendelea
0 Comments