
"By Babie Love 0742133100" Basi bwana mimi na Rouhy tuliondoka kuelekea hospital kwa ajili ya kufanya chekapu tujue afya kabla ya kukulana jamani hahahaa afya muhimu.. Tulienda kwenye hospital fulani hapa jijini Dar es salaam tukachukuliwa vipimo kibao ikiwemo virusi vya ukimwi🥰🥰 Katoto cha watu nilikuwa safi hata UTI tu sikuwa nayo 😂😂😂 hata mme wangu hakuwa na tatizo lolote la kiafya ni jambo la kumshukuru Mungu... Tulipita mlimani City my wenu nikafanyiwa shopping nikanunuliwa na simu 😂😂mjue sijawahi kumiliki simu tangu nizaliwe ndo nilikuja kuimiliki baada ya kuolewa.. Kipindi hicho ndo zimetoka iPhone 12😂😂😂nikainunuliwa promax allooh kumbe kuwa na
0 Comments